VIDEO | Muna afunguka “nitaanika kila kitu, ugonjwa wa Patrick mpaka kifo”
Mtumishi huyo wa Mungu ameiambia SHIJATWIST Tv kwamba atazungumzia kuhusu ugonjwa wa mtoto wake, alivyoanza matibabu mpaka kifo chake pamoja na mambo mengine ambayo yalikuwa yanatokea.
“Nisikilizwe nachotaka kuongea toka mwanangu ameumwa mpaka kufariki sikuongea kitu,” Muna aliiambia Bongo5 “Ni watu tu walikuwa wanaongea na kunihukumu, wiki ijayo nitazungumza na waandishi kuweka sawa yote,”